9

Kibaki Strikes Bolt

Posted November 3rd, 2009 in Reflections by M

kibakibolt

  • http://www.mwanamishale.wordpress.com archer

    I bet Baks was thinking “Huyu kubaff ni naani? Na anavuta mkono kwa hewa kwa nini? Na ananishika mabega kwa nini? Na ananipatia picha yake kwa nini? Na huyu ADC ako waapi? Maavi ya kuku!”

  • vituvingisana

    Juu, juu, juu sana….

  • http://mywordsonly.blogspot.com acolyte

    Classic pic! This dude looked like he had a ball and then some when he was in Kenya…

  • http://prousette.blogspot.com prousette

    Sasa, uendelee kufanya hivyooo hivyoo hapo hapo…

  • http://ourkidbert.blogspot.com/ Our Kid

    “Huko una-point, kunaitwa Othaya. Na huko ndio mimi nilitoka. Na ndio nitarudiiiii. Wewe wacha kujifanya ndege. Hata kama unakimbia kama Wakiihuri. Hauna mabawa. Kwa hivyo wewe ni bure”

  • http://ourkidbert.blogspot.com/ Our Kid

    ‘Wewe kazi yako ni kufanya nini? Kukimbia? Ukienda wapi? Kwa hivyo wewe ni mkimbizi? Kwa nini hujaenda Dadaab au Kakuma? Huko kuna wakimbizi wengiiiiiii’

  • http://ourkidbert.blogspot.com/ Our Kid

    “Na hizo gold medal nimesikia unajaza kwa kikapu, zita kusaidia nini? Hiyo ka-shirti umevaa, hata hakatoshi. Tunaona underwear yako. Ukiwa na gold na hautumii tutakupeleka huko Goldenberg Inquiry. Eh… chunga kidole”

  • http://www.dfaceii.wordpress.com SupremeGREAM

    I think it would have helped if Kibaki pulled the the pose too. That would have been iconic

  • http://www.wetwool.com donworry

    Good pic and good comments. Here I was thinking that maybe sometimes I judge our leaders too harshly.

    Why is it that they must be the centre of every single news item – the other day it was the world-cup – the photo of “our president” drooling over this cup nearly made me sick!

    sorry.